Glossary entry

English term or phrase:

Kupiga denda

Swahili translation:

-piga denda =practice deep kissing

    The asker opted for community grading. The question was closed on 2011-10-11 10:54:09 based on peer agreement (or, if there were too few peer comments, asker preference.)
Oct 7, 2011 22:14
12 yrs ago
English term

Kupiga denda

English to Swahili Other Slang
Je, kupiga denda ni Kiswahili sanifu ama ni lugha ya mtaani?

Discussion

NinoV Oct 8, 2011:
Please don't decline your grading right! I think you got an answer.
NinoV Oct 8, 2011:
"kumramba" na "kumnyonya" ni tofauti: "Huyu amemnyonya sehemu zake za siri".
Patrick Muriithi Nyawira (asker) Oct 8, 2011:
Alaaas, NinoV nishakuelewa, basi msemo huo ni sawa na msemo wanaotumia vijana huku kwetu; KUPIGA MATE; KUMRAMBA; KUMNYONYA.

NinoV Oct 8, 2011:
Sijawahi kusikia msemo huu, lakini maana yake ni "to practice french kissing". Ninayojua mimi ni kwamba "denda" (drool, spittle) ni kisawe cha "ute, nk" na "kudenda" ni kisawe cha "-nyenga, -zuga, nk" (to obtain deceitfully, to scrounge). Msemo huu ni lugha ya mtaani. Tena, kweli inawezekana kusema "kula/kunyonya uroda"? Ninavyojua mimi "uroda=ureda" maana yake "raha" au "uroda" maana yake "tendo la kujamiana".

Proposed translations

+1
7 hrs
Selected

-piga denda =practice deep kissing

Ni msemo wa mitaani.
Peer comment(s):

agree eBoy (X) : piga denda = tongue kiss
21 hrs
Something went wrong...
4 KudoZ points awarded for this answer. Comment: "Shukrani!"
+1
2 hrs

Denda na Uroda

Denda, na Uroda, havipigwi bali huliwa na kunyonywa so do don't use "kupiga" use "kula" or "kunyonya"
Peer comment(s):

agree Secilia Njau
19 hrs
"Kula" ndio sahihi zaidi
Something went wrong...
+1
18 hrs

Kunyonya denda au kulamba denda

kunyonya na kulamba ndio sahihi. kwa sababu denda ni mate huwezi kupiga mate kwa hiyo tunasema kunyonya au kulamba mate
Note from asker:
Asante Secilia,... na wapendeza kweli mtoto!
Peer comment(s):

agree Zubeir Ndarawa : Ni kula na kunyonya bwana, na nina ushauhidi
7 mins
tuoneshe ushahidi
Something went wrong...
Term search
  • All of ProZ.com
  • Term search
  • Jobs
  • Forums
  • Multiple search